HaliKufanya Biashara kwa Urahisi,Popote Ulipo

Hali Kufanya Biashara kwa Urahisi, Popote Ulipo

Dhibiti akaunti yako ya kufanya biashara kwa urahisi popote ulipo. Kwa miguso michache tu, dhibiti shughuli za kuweka pesa, kutoa pesa na zaidi moja kwa moja kutoka kwenye kifaa chako cha mkononi.
Pakua Sasa

Udhibiti wa Fedha wa Haraka na Rahisi

Weka pesa, toa pesa na ufuatilie salio na salio halisi kutoka kwenye simu yako, inayokupa udhibiti kamili wa fedha zako za kufanya biashara.

Dhibiti Akaunti za Kufanya Biashara

Fungua akaunti mpya, kamilisha hatua za uthibitishaji wa KYC popote ulipo! Pakia na udhibiti hati kwa mchakato rahisi wa kufanya biashara

Usaidizi wa Saa 24 Kila Siku Kupitia Gumzo la Moja kwa Moja

Unahitaji usaidizi? Pata usaidizi kupitia Gumzo letu la Moja kwa Moja lililojumuishwa - timu yetu ya wataalamu iko tayari kukusaidia kwa maswali yoyote, usaidizi wa kiufundi na mengineyo.

Programu ya Simu ya Mkononi ya Valetax

Jinsi ya Kuanza Kufanya Biashara

Hatua 1
Hatua 1
Tafuta Programu ya Valetax kwenye App Store na Play Store au Bofya viungo vilivyo hapa chini.
Hatua 2
Hatua 2
Ingia au ufungue akaunti na Valetax
Hatua 3
Hatua 3
Weka pesa kwenye akaunti na uanze kufanya biashara katika Valetax!

Kwa Nini Ufanye Biashara Nasi?

Tofauti ya bei ya ununuzi na uuzaji ya Pip 0.0

Tofauti ya bei ya ununuzi na uuzaji ya Pip 0.0

Kwa kutoa tofauti za chini zaidi za bei ya ununuzi na uuzaji, tunakusaidia unufaike zaidi na viwango vya faida.

Kufanya Biashara Bila Makato ya Asilimia ya Faida

Kufanya Biashara Bila Makato ya Asilimia ya Faida

Nufaika na muundo wetu wa kufanya biashara bila makato ya asilimia ya faida, ufurahie huduma isiyo na usumbufu.

Kutoa Pesa Haraka na Salama

Kutoa Pesa Haraka na Salama

Tunakupa utulivu wa mawazo, kwa taratibu za haraka na salama za kutoa pesa.

Usalama wa Fedha

Usalama wa Fedha

Unahakikishiwa usalama wa fedha zako, kwa kudumisha akaunti za wateja zilizotenganishwa kabisa

Pata mkopo wa hadi 1:2000

Pata mkopo wa hadi 1:2000

Furahia uwezo kamili wa biashara zako ukitumia mkopo wetu wa kipekee wa 1:2000.

Kuweka pesa kwenye akaunti kupitia watoa huduma waliokaribu nawe

Kuweka pesa kwenye akaunti kupitia watoa huduma waliokaribu nawe

Tunatoa utaratibu usio na usumbufu wa kuweka pesa kwenye akaunti kupita watoa huduma wetu walio karibu nawe, wanaominika, na kufanya iwe ya rahisi.

Anza Kufanya Biashara