What is CopyTrade?
CopyTrade is a product that allows traders of all levels to replicate the trading strategies of experienced Money Managers.
Live Trade Monitoring
Track live trade activity and account performance directly through your Member Area.
Deposit and Withdrawal Flexibility
Deposit or withdraw funds based on the available conditions, with Performance Fee protection.
Stop-Out Protection
Investor accounts have a 0% stop-out level, helping reduce the risk of early stop-outs compared to Money Manager accounts.
Precision in Trade Copying
Trades are adjusted for precise copying, down to 0.000001 lots, even for smaller investments.
Why CopyTrade?
Markets never sleep. For new traders, it can feel overwhelming to study charts, strategies and economic events while managing everyday responsibilities.
How it Works
STEP 1 Select Money Manager
Choose your preferred Money Manager based on their risk level, performance history, and experience.
STEP 2 Deposit Funds
Fund the account you wish to use for CopyTrading
STEP 3 Start CopyTrade
Follow and connect to your Money Manager’s preferred strategy and CopyTrade away!
Maswali Yanayoulizwa Sana
Kwa Wawekezaji
Kwa Wasimamizi wa Pesa
Copy Trading ni nini?
Copy trading ni huduma inayokuwezesha kuwekeza na kuiga kiotomatiki mikakati ya biashara ya wawekezaji waliobobea. Wanapofanya biashara, akaunti yako inaiga biashara hizo kwa wakati halisi.
Utaratibu wa Copy Tradingni upi?
Unachagua mfanyabiashara mmoja au zaidi wa kuwekeza naye na akaunti yako inaiga vitendo vyake vya biashara. Anaponunua au kuuza mali, akaunti yako inafanya vivyo hivyo kulingana na uwekezaji wako.
Kuna ada zozote zinazotozwa kwa Copy Trading?
Kuna ada zinazohusiana na Msimamizi wa Fedha unayewekeza naye. Ada zote zinagawanywa kwa uwazi kwa Wasimamizi tofauti wa Fedha.
Ninahitaji kuwekeza kiasi gani ili kuanza Copy Trading?
Kila Msimamizi wa Fedha ataweka kiasi cha uwekezaji anachopendelea kutoka kwa wawekezaji wanao mwiga. Unaweza kuangalia kiasi hiki katika Eneo lako la Mwanachama.
Ninaweza kuchagua Msimamizi wa Fedha ninayependelea kumfuata?
Bila shaka. Unaweza kupitia na kuchagua kutoka kwenye orodha ya wafanyabiashara au wawekezaji waliobobea, kila mmoja ana mikakati ya kufanya biashara na rekodi za utendaji wake.
Ninaweza kuchagua Wasimamizi tofauti wa Fedha na kusambaza uwekezaji wangu?
Ndiyo, unaweza kusambaza uwekezaji wa mali yako kwa kuwekeza na Wasimamizi wengi wa Fedha wenye mikakati tofauti, hatua inayoweza kusaidia kudhibiti hatari.
Ninaweza kutoa pesa zangu wakati wowote?
Kawaida, pesa zinaweza kutolewa wakati wowote.
Nini kitafanyika kama Msimamizi wa Fedha ninayewekeza naye atapata hasara?
Kuna hatari zinazohusika katika uwekezaji wote. Kama Msimamizi wa Fedha atapata hasara, fedha zako ulizowekeza zitapungua sawia.
Ninaweza kujitenga na Msimamizi wa Fedha wakati wowote?
Ndiyo. Kama unahisi kwamba uwekezaji hauleti faida inayokufaa, unaweza kutaka kujiondoa kwenye mkakati huo wakati wowote.
Kama mteja atawekeza kwa Msimamizi wa Fedha, mteja ataiga biashara zote, biashara zilizopo na mpya za Msimamizi huyo wa Fedha?
Hapana, mteja atawekeza katika biashara mpya
Ninaweza kuwekeza katika Msimamizi mmoja wa Fedha nikitumia namba na/au aina tofauti ya akaunti ya biashara?
Unaweza kuwekeza katika Msimamizi mmoja wa Fedha hadi mara 5. Akaunti mpya ya mwekezaji hufunguliwa kila wakati unapounganisha kwenye Mkakati.
Ninawezaje kuwasiliana na Msimamizi wangu wa Fedha?
Unaweza kuwasiliana na huduma kwa wateja na Timu ya Valetax itakuwa kiungo cha mawasiliano na Msimamizi wa Fedha. Hakuna chaguo la kuwasiliana na Msimamizi wa Fedha moja kwa moja
Faida huhamishiwa kwenye pochi au huwekezwa tena kiotomatiki kwenye akaunti ya mwekezaji?
Mfumo hauhamishi faida kiotomatiki. Utaweza kudhibiti fedha zako mwenyewe.
Ninaweza kufikia au kudhibiti biashara zangu za mwigo kupitia MT4 au MT5?
MT4 haitumiki. Ufikiaji wa MT5 unapatikana katika nchi maalum, ambapo wawekezaji wanaweza kuona biashara na wanaweza kuzifunga kama itaruhusiwa na mtoa mkakati.
Asilimia ya faida hutathminiwa mara ngapi kwa Wasimamizi wa Pesa – Kila Siku, Kila Wiki au Kila Mwezi?
Itatathminiwa kila siku.
Wasimamizi wa Fedha wanatumia aina gani ya utekelezaji wa agizo, ni mfuatano au papo hapo?
Wasimamizi wa Fedha mara nyingi wanaweza kuchagua aina ya utekelezaji inayofaa mapendeleo yao ya mkakati na hatari. Aina za utekelezaji wa agizo zimefafanuliwa hapa chini:
Utekelezaji mfuatano: maagizo hutekelezwa kwa mpangilio wa yanavyopokelewa
Utekelezaji wa papo hapo: maagizo hutekelezwa mara moja kwa bei ya sasa ya soko.
Aina gani ya akaunti ambayo Msimamizi wa Fedha anaweza kuweka kwa mikakati?
Aina zote za akaunti.
Kiasi cha chini zaidi kwa Msimamizi wa Fedha cha kufungua mkakati mpya ni kipi?
$10 kwa akaunti za CENT, $20 kwa aina nyingine za akaunti.
Ninaweza kubadilisha mkakati wangu na/au kukomesha jukumu langu kama Msimamizi wa Fedha wakati wowote?
Ndiyo, kama Msimamizi wa Fedha, una uwezo wa kubadilisha mkakati wako wa kufanya biashara au kukomesha jukumu lako wakati wowote
Ninaweza kufanya nini ili kuwavutia wawekezaji zaidi?
Ni muhimu kuonyesha rekodi ya uwazi na maelezo kuhusu takwimu za utendaji ili kuwavutia wawekezaji. Kutoa taarifa thabiti na za mara kwa mara kuhusu mkakati wako pia husaidia kuvutia na kuimarisha uaminifu wako.
Taarifa gani ninazofaa kujumuisha kwenye wasifu wangu wa Msimamizi wa Fedha?
Unaweza kuweka taarifa kuhusu mkakati wako wa uwekezaji na kiwango cha ujuzi katika kufanya biashara. Wasifu huu ndio wawekezaji watachunguza wanapoamua Msimamizi wa Fedha wa kuwekeza naye.
Wawekezaji wangu watatozwa asilimia ya faida lini?
Asilimia ya faida hutathminiwa upya mara moja kwa siku.
Ninaweza kuamua kiasi cha asilimia ya faida cha kuwatoza wawekezaji wangu?
Ndiyo, Msimamizi wa Fedha huamua thamani ya asilimia ya faida wakati wa kuunda mkakati.
Ninahitaji kulipa ada ili kuwa Msimamizi wa Fedha?
Hapana, huhitaji kulipa ada yoyote ili kuwa Msimamizi wa Fedha.
Nitapokea asilimia ya faida lini kutoka kwa wawekezaji wangu?
Asilimia ya faida hutathminiwa upya mara moja kwa siku.
Ninawezaje kuwa Msimamizi wa Fedha?
Unaweza kuunda mkakati katika kichupo cha “For Money Managers”. Kampuni huangalia maelezo ya mkakati na baada kampuni kuidhinisha mkakati, utapatikana ili kutumiwa na wengine.
Ready to Get Started?
Get started in just 3 simple steps
1
Jisajili
Fungua aina ya akaunti unayopenelea ya kufanya biashara
2
Weka Pesa
Fund your account through the available payment options.
3
Fanya Biashara na Uchume Pesa
Fanya biashara kwa umahiri na upate faida kubwa leo!


